Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri


Mkuu wewe ni Mwana-CHADEMA?
 
Wewe ni boya, ulisha move on, tembea baba, hawezi akawa ame change kwa muda mfupi huo..?
Sikio la kufa halisikii dawa. Hapo ni emotions ndo zinakusumbua
 
Kitu kinachokusumbua ni "uvumilivu " uliambiwa ishi nao kwa kutumia akili, tena ya hali ya juu. Kuna wakati unajifanya wewe ni mjinga.
 
unajaribu kutongoza mke wa mtu kuwa makini usije pakwa mafuta na wahuni wakikosa hata grease itatumika.
 
Unasikitisha sana...
Alivyokunyima donati yake, ungempa ya kwako maana na wewe sii unayo...

Cc: Mahondaw
 
1. Umesema wanawake wote ni wale wale, JE HATA MAMAKO NI WALE WALE?

2. kwa mtiririko huo, UNA TATZO WEWE, AU UNA TATZO LA FAMILIA AU UNA TATZO LA UKOO..

"ANOTHER MAN DOWN"
 
Divorce for a man, is really a BLESSING. hiki ni kitu nimekuja kukifaham recently. Is really a blessing. I appreciate her courage she took to set me a free man. I really cant thank her enough
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…