Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

Donati unalinganisha na hilo acha uzwazwa unatuhaibia chakula
 
We huna akili aisee, hivi kweli haujui kuwa mwanamke akipata mimba anabadirika, anakuwa na hasira na kisirani?
 
Jaribu kuolewa manake kuoa unaonekana hutaki mzee baba kaza mtoto wa kiume manake sababu zako za kuachana nao hazina mashiko kabisa
 
Jaribu kuolewa manake kuoa unaonekana hutaki mzee baba kaza mtoto wa kiume manake sababu zako za kuachana nao hazina mashiko kabisa
Hahaha huu ugomvi unaomtafutia mleta mada ni wa kupelekeana mapanga mwilini
 
Una miaka mingapi namana Huwa natibu ugonjwa kutokana na umri ukiwa mdogo nawe za kukupa dawa zikakuzidi uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…