Nimemuona Kagoma. Simba imrudishe Kagoma ni mali yetu. Acheni figisu ni bonge la mchezaji

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni.

Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS.
milioni 30 tena kwa mafungu,ni dharau kubwa kwa wachezaji wazawa,kanunueni supu mnywe..
 
Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni.

Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS.
Wanasheria wa utopolo wa humu jf leo siwaoni kabisa wakilizungumzia hili suala la kagoma kuichezea simba mechi ya jana . Nahisi ni aibu zile za kudanganywa na yule mwanasheria wao uchwara na kale kanjiti ka kilo 6 halafu wakaja mbiombio na kusema simba atapokonywa pointi.
 
Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni.

Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS.
Majamaa yaliamua kupita kwa Kapombe mara nyingi. Kocha naye hakutaka kumfanyia sabu Kapombe, sijui alitaka ambebeshe lawama!
 
KABISA YALIHAMIA KWAKE. BAADA YA KUONA HUYU DOGO KAGOMA WAO KUPITA PALE ALIPO. DOGO NI MZURI. NACHOPENDA NI MZAWA. HILO NDO LINANIFANYA NITAMANI ARUDISHWE YANGA PLEASE.
 
Ninachofurahi simba inaimalika sana na uto ni kama anguko linawanyemelea. Kina kila dalili ya hali ya PSG pale utopoloni
 
IMG-20240916-WA0003.jpg
 
Ila wee Komeo unanipa burudani sana...www ni utopolo ila unanifurahisha sana...😃😃😃
 
Back
Top Bottom