Nimemuona Kagoma. Simba imrudishe Kagoma ni mali yetu. Acheni figisu ni bonge la mchezaji

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
milioni 30 tena kwa mafungu,ni dharau kubwa kwa wachezaji wazawa,kanunueni supu mnywe..
 
Wanasheria wa utopolo wa humu jf leo siwaoni kabisa wakilizungumzia hili suala la kagoma kuichezea simba mechi ya jana . Nahisi ni aibu zile za kudanganywa na yule mwanasheria wao uchwara na kale kanjiti ka kilo 6 halafu wakaja mbiombio na kusema simba atapokonywa pointi.
 
Majamaa yaliamua kupita kwa Kapombe mara nyingi. Kocha naye hakutaka kumfanyia sabu Kapombe, sijui alitaka ambebeshe lawama!
 
Majamaa yaliamua kupita kwa Kapombe mara nyingi. Kocha naye hakutaka kumfanyia sabu Kapombe, sijui alitaka ambebeshe lawama!

KABISA YALIHAMIA KWAKE. BAADA YA KUONA HUYU DOGO KAGOMA WAO KUPITA PALE ALIPO. DOGO NI MZURI. NACHOPENDA NI MZAWA. HILO NDO LINANIFANYA NITAMANI ARUDISHWE YANGA PLEASE.
 
Ninachofurahi simba inaimalika sana na uto ni kama anguko linawanyemelea. Kina kila dalili ya hali ya PSG pale utopoloni
 
KAGOMA ni MKUDE mpya pale SIMBA
 
Ila wee Komeo unanipa burudani sana...www ni utopolo ila unanifurahisha sana...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…