ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Lakini anatajwa zaidi katikati ya dhiki,yaani ukiwa mzima na balimi ziko full mezani ukisubiria kitifaya kwenye kiti kirefu humtaji sana. Subiri sasa wakati wa machozi!Mungu Ni Mwema Kila Wakati. Kila wakati Mungu ni Mwema.
Labda wengine mkuu. Mimi nikiwa nimekamata Larger huwa namshukuru sana Kwa mavuno ya ngano na shayiri.Lakini anatajwa zaidi katikati ya dhiki,yaani ukiwa mzima na balimi ziko full mezani ukisubiria kitifaya kwenye kiti kirefu humtaji sana. Subiri sasa wakati wa machozi!
Wanaimagine kuwa yupo tu ila haonekaniHii imekaaje wadau,mbona katika raha hakuna anayadai kamuona.Au yupo tu kwa ajili ya hali ngumu?
Hapo mkuu ndiyo panaponichanganya. Raha peke yako,shida na Mungu!Yupo kote sana tu,ila mara nyingi watu wanamkumbuka kwenye shida