Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

Ndoto zipo nyingine hutokea za ukweli nyingine ni za asubuhi kumeshakucha ndege wanakwenda kutafuta mahitaji na mbuzi anakula majani yote yanawezekana kutokea ila ndugai bado watu hawajasahau alipomcharaza mtu bakora ya uso!
 
Ndoto yako Ina ujumbe mzito ,siwezi kukutafsiria hadharani,sihitaji Kash Kash
 
Hongera sana mheshimiwa Tundu Antipas Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha CHADEMA, Mwenyezi Mungu akuongoze katika wakati wako na safari yako ya kuleta mabadiliko katika Chama na nchi yetu.
 
Hyo no.4, uliipatia Bhikalamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…