Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Feb 19, 2012 #21 kama una ishi nae kamkatie tiketi arudi zake kijijini..
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Feb 20, 2012 #22 kijana kwani shida ipo wapi baada ya kukumwaga?we si ndio MALOVA mzee wa ma-love love!songa mbele mjomba ila usirudie tena kuonyesha dalili za ma-player siku ya valentine!watu wanaosaliti wenzao siku hiyo hufanya kama ulivyofanya!
kijana kwani shida ipo wapi baada ya kukumwaga?we si ndio MALOVA mzee wa ma-love love!songa mbele mjomba ila usirudie tena kuonyesha dalili za ma-player siku ya valentine!watu wanaosaliti wenzao siku hiyo hufanya kama ulivyofanya!