Habari wana jamvi! Nimemwona CAG hapa chuoni (UDSM), hadi machozi yakanilengalenga.
Nataka nikamsalimie na nimbariki!![emoji547]
Hahaha dahMkimbilie kashike suruali yake huku chini miguuni hakikisha unaikumbatia asiondoke kisha busu miguu yake na umwambie "Ee CAG uwasamehe kwani wanajua walitendlo". Baada ya hapo mwambie aende kwa amani
Naamini Allah ana provide ulinzi.Kwani anaulinzi hapo alipo?
Hata mama na baba yako ni watanzani! Kama maneno yako ni sahihi basi wewe ni mnafiki kipeuo cha tatu!Unafik wa watanzania bwana
Hata mama na baba yako ni watanzani! Kama maneno yako ni sahihi basi wewe ni mnafiki kipeuo cha tatu!
Unajianika ukiwa uchi wa nyama!!!Huna cha kuniambia wewe, your a just bunch of fools
Tumeshapitia huo umri wako wa mihemuko
Insane...
Unajianika ukiwa uchi wa nyama!!!
Me alone nawezaje kuwa "bunch" mkuu?
Niko sahihi wewe ni mnafiki kipeuo cha tatu.
msamehe tuHata mama na baba yako ni watanzani! Kama maneno yako ni sahihi basi wewe ni mnafiki kipeuo cha tatu!
Hana ulinziKwani anaulinzi hapo alipo?
Msalimie sana...mwanaume pekee aliyebaki TZ