Nimemzidi umri kwa miaka 12

Kama anakupenda kwa dhati mwambie utazalia ukiwa kwenye ndoa maana usikute shida yake ni mtoto kutoka kwako. Halafu jambo jingine imekuwaje unafikia 44 bila kuwa na mume?
Ndio swali gani sasa hili?Vitu vingine si vya kuulizwa.
 
ulikuwa wapi siku zote?? Bila shaka wewe ni "mwanamke msomi"!
 
Aisee kumbe unaweza kuwa siriaz kutoa ushauri kumbe hamna kitu.aise nyie watoto acheni upuuzi wenu.muwe na adabu kwa watu wazima.asante mkuu kwa kuniwekea ukweli bayana.

Kumbe na huku huwa unapita! Nikajua wewe ni wa siasani tu kwenye stress za kufa mtu
 
Kaizer babu Asprin yukwapi aje kuongeza mke hapa!??
Sky Eclat either utuambie unamuombea shosti ako ushauri au ni ipi kati ya thread zako ni ya ukweli...!



Yah, sure...... Yawezekana kweli hii issue sio yake anamuombea shost ushauri. Mdogo wangu mentor hujambo?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe na huku huwa unapita! Nikajua wewe ni wa siasani tu kwenye stress za kufa mtu

Napita kupunguza stress mkuu.kule siasani bavicha wamechanganyikiwa unaweza kujikuta unakuwa kichaa.
 
Hisia zisitawale halihalisi..nikweli mnapendana lakini hebu tafakari nini kitatokea kati yenu wewe ukifikisha miaka 50 yeye ndio kwanza miaka 36?

Kaa tafakari vizur mama yangu
 

Miaka 44 kupata mtoto inabidi utumie mbinu kweli maana menopause ndio muda wake huo
 
khaaaa!!miaka 44 wenzio wanalea vitukuu,we ndo kwanza bado unahangaika kubemenda watoto wa wenzio!!
 
Kinyume chake ingekuwa sahihi, tafuta tu mwingine huyo kijana atakupa pressure sana baadae, ataanza kuhangaika na vijidada. Be careful.
 

Mh miaka 44, biology yangu ya form III inaniambia bado miezi michache tuu, hutatoa mayai, fanya faster dada angu ndoa sio issue sana
 
Hivi ulishanza kulamba ndimu au bado unafanya kazi ya Afisa takwimu RITA
 
Kwani wewe unaushauri gani. Kwa sababu na kwa jinsi ninavyofahamu mimi ni kuwa kila muuliza swali, anamajipu tayari> Weka jipu lako kwanza kabla ya kukushauri
 
Kwani wewe unaushauri gani. Kwa sababu na kwa jinsi ninavyofahamu mimi ni kuwa kila muuliza swali, anamajipu tayari> Weka jipu lako kwanza kabla ya kukushauri

Mambo huwa yanabadilika, bwana mdogu alipata kazi ujerumani, na mimi nimeamua kujiendeleza ki-elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…