Nimemzimia sana Neybright

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
911
Reaction score
1,294
Wakuu habari za mda huu,

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.

Kiukweli nimempenda huyu binti Neybright kiukweli nina nia ya dhati kabisa nimuoe. Ney popote pale ulipo naomba ujitokeze tuyajenge.

Cc Neybright
 
Ndo unatafuta KIKI? una hakika na unachokinena? Bila Shaka huyo bi dada ujumbe utamfikia na mtaafikiana....hongera kwa ujasiri wa kutangaza ndoa..
 
CC Neybright dear kuna mtu kafika mwisho wa reli huku
 
Kijana jiangalie sana marinda kwa maana huyo ni miliki halali ya kigogo mmoja wa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…