Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

Probably you should provide an altenative for your wife transport.

Mpe hela ya kutosha ya usafiri kama njia mbadala then umuone. Sema wanawake ni pasua kichwa.
 
The way is simple kama na wewe unagari wape lift wale ma single lady just for two days utaona kama hatotembea kwa mguu mpaka job
 
Usafiri wa dar asubuhi ni wa shida, mwanamke akiwa legelege atamwegwa tu,
la muhimu jitahidi uwe unatoka naye.
 
Usiogope...

Tengeneza mazingira ya hela kwa hilo liasherati wewe na wife!
 
Punguza jazba mkuu!.kosa lako.ukikaa mbali na mji muhimu wote muwe na usafiri.
 
Usafiri wa dar asubuhi ni wa shida, mwanamke akiwa legelege atamwegwa tu,
la muhimu jitahidi uwe unatoka naye.
hivi huwa mnajisikiaje mnapomegwa eti tu kwa sababu mmepewa lift?
 
mkuu mnunulie wife baiskeli awe anaenda nayo kazini
 
Kumbe ni mwasherati I see,bora mzinzi
 
We jamaa siku ukisikia wife amechepuka utaua aisee..Lifti tu umemkabidhi makofi hivyo..Nwei kama vipi mwachie wife gari we kagombane na daladala
 
Kuwa mwanaume kama umesha kataza hakuna ni hakuna, coz ata ingikuwa wewe unapanda lift ya jirani wa kike mkeo lazima angekukataza na angetaka katazo lifanyiwe utekelezaji mara moja , ukikaidi anaenda kwa wazee au anakunyima unyumba.
 
kumegewa kunauma aisee jamaa mpaka katoa kelbu hatar sana
 
Nimecheka sana, sina Comment kwakweli.
 
Dahhhhhh pole sana MKUU Inawezekana mkeo akawa na msimamo na Asimkubali ila kupanda gari lake litawashushia sana heshimaa kwa sbab hilo liasherat na tabia zake


usimpige banaaa xkuiz bnadamu tunaishi na magonjwa itakuja kkletea shida

Chakufanya sasa : Mgeuzie kbao mkeo tenaaa ukiwa seliously mwambie umepata habar anatembea na hilo liasherat ndomana hatak kuacha kpanda gari Mtikise hataaa wikii1 usimcheke Ataacha Tuu!!"!""""
 
Ha haaa hawezi. Halafu ukute ye mwenyewe anatoaga lift kwa wanawake ila mkewe anamkataza

yap kwa mwanaume ni ruksa ila kwa KE "is strictily prohibited" . sisi tunaamuzi ya kutongoza au tusitongoze ila nyie lazima mtatongozwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…