Nimeng'atwa na mbwa, nahitaji huduma ya kwanza

Nimeng'atwa na mbwa, nahitaji huduma ya kwanza

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habarin wapendwa!

Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi.

Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie.

Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital?

Aanteni.
 
osha kwa maji na sabuni mengi kisha nenda hospital uchomwe sindano za ARV kabla kichaa hakijaanza maana kikishaanza kufa ni kugusa
 
Osha kidonda na maji halafu disinfectant km spirit km unayo nyumbani, funga na gauze au plaster halafu uende hospital kuchoma sindano za kichaa cha mbwa ( rabies)
 
Umeng'atwa na Mbwa na bado matibabu unayataka jf? Kama ni Mbwa anayehudumiwa, na ana chanjo sio shida kiviiile. Lakini kama mbwa mwenyewe ni ccm!! Mtafute na wewe umng'ate.
 
mbwa hajakung'ata vizuri if you were able to post your story on JF
 
Msaada wako unategemea umengatwa sehemu gani. Mbele au nyuma? Je umeng'atwa bila kuchaniwa nguo au nguo zimechanwa chanwa?
 
Huyu yawezekana ni mhalifu na mbwa aliemuuma ni wa police sasa anju kienda hospital tu wanamkamta...kama sio please wahi hospital
 
Habarin wapendwa!

Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi.

Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie.

Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital?

Aanteni.
Bweka kama mbwa mara 100 kwa muda wa siku 3 utakuwa umepona kabisa
 
w
Habarin wapendwa!

Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi.

Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie.

Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital?

Aanteni.
ww ni mwizi bila shaka ha ha ha ha ha kwa nn hautaki kwenda hospital??
 
Back
Top Bottom