Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Bweka kama mbwa mara 100 kwa muda wa siku 3 utakuwa umepona kabisaHabarin wapendwa!
Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi.
Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie.
Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital?
Aanteni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo taabu ya kusalandia watoto wa ushuani, uswazi hatuna mbwa!
ww ni mwizi bila shaka ha ha ha ha ha kwa nn hautaki kwenda hospital??Habarin wapendwa!
Usiku huu nimen'gatwa na mbwia nkiwa napita mitaa flani hivi.
Naomba kwa anayejua huduma ya kwanza aniambie.
Na je kuna njia mbadala ya kufanya pasipo kwenda hospital?
Aanteni.
Hata kama ni mwizi akienda hospital watamtibia tu,Muondole hofu mwenziow
ww ni mwizi bila shaka ha ha ha ha ha kwa nn hautaki kwenda hospital??