Nimenunua ADSL Modem mpya ya NETGEAR N300 ipo Faster

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
2,509
Reaction score
1,340
Jamani wana JF leo nimefurahi sana kupata Modem mpya ambayo inarahisisha mambo yangu pamoja na biashara zangu. Sasa Internet kwangu ipo faster kuliko ilivyokuwa mwanzo baada ya kubadilisha Adsl Router kwani hata Wireless yangu ipo faster pia na range yake pia imeongezeka baada ya kui-configer.

Halahala wa JF Jioni njema
 
Tuelezee vyema basi kwa undani aina ya hiyo modem
inauzwa bei gani na inapatikana maduka yepi kwa dar si lamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…