both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 974
- 1,876
au kuna Settings inabd nizifanye Mkuu?Hisense sa hv fake nyingi sana
ndo nimenunua leo mkuu..nilitaka tu kujua kama ni tatzo linarekebishika au la.Kwani haina warranty? Si uirudishe dukani wakarekebishe/kukubadilishia tv..
"Revert" maana yake silimu. Inakupa ujumbe uwe Muislam. Haitaki utazame mambo ya ufuska.Wakuu Msaada pls,nimenunua hisense dukani..nakuja home nimenotice kila baada ya muda flani sauti inajishusha mpk 0..na pia kuna kaujumbe kanaanzia na REVERT..nsipobonyeza any button Tv inajizima na kurestart .
Msaada Pls..
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa
Najivunia kua Muslim."Revert" maana yake silimu. Inakupa ujumbe uwe Muislam. Haitaki utazame mambo ya ufuska.
na hata hii hisense nimenunua kutoka kwa authorized dealer..kama unalijua duka lao pale mtaa wa Congo limeandikwa HISENSE..Hlf mkuu nimeleta shida yng sbb najua huenda settings tu hazijakaa sawa..Mlishaambiwa TV ni Sony, Samsung, LG na Panasonic kutoka kwa authorized dealer.
Dah OG na fake utazijuaje mkuu ili na sisi kama tukiwa tayari tusiingizwe mkengeKuna uzi mmoja ulikuwa unazunguka humu ukizungumzia hatari ya kununua Hisense TV fake kwa bei ya original yule jamaa nilimuelewa sana.
Though yeye kwa maelezo yake alikuja kununua used ambayo soko lake siyo la Africa but alisema TV nyingi bongo madukani wamechanganya original kidogo na ronya zipo so wakiona mteja ni mjanja wanamtolea OG kama mbulula anabebeshwa mchina aliyechangamka
Ma shaa Allah, basi TV yako haitaki utazame upuuzi humo.
Shukrani nitafanya hivyo[emoji120]Ma shaa Allah, basi TV yako haitaki utazame upuuzi humo.
Fanya resetting. Mimi sizifahamu hizo hisense, lakini tv yangu ikileta ujinga kuna sehemu ya kufanya reset kwenye settings.
Nilisikia ukitaka uijue org unaingiza model number inakuletea taarifa zake..Kwani mfano ikiwa Feki ukiingza model number haileti taarifa?na je,model number naipata wapi..au ile nayoandkiwa ktk receipt?maana nahis wanawz andika model number ambyo ni genuine katka receipt kumbe ipo tofauti na ya Tv.Kuna uzi mmoja ulikuwa unazunguka humu ukizungumzia hatari ya kununua Hisense TV fake kwa bei ya original yule jamaa nilimuelewa sana.
Though yeye kwa maelezo yake alikuja kununua used ambayo soko lake siyo la Africa but alisema TV nyingi bongo madukani wamechanganya original kidogo na ronya zipo so wakiona mteja ni mjanja wanamtolea OG kama mbulula anabebeshwa mchina aliyechangamka
"Revert" maana yake silimu. Inakupa ujumbe uwe Muislam. Haitaki utazame mambo ya ufuska.
Chinese brands, hapo umenunua Hisense fekiWakuu Msaada pls,
Nimenunua Hisense dukani, nakuja home nimenotice kila baada ya muda flani sauti inajishusha mpk 0..na pia kuna kaujumbe kanaanzia na REVERT. Nisipobonyeza any button TV inajizima na kurestart.
Msaada Please.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Chief-Mkwawa