Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia.

Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
 
Huwezi kupata ajira ila nakushauri kwa vile kasia ni kubwa kuliko mwiko wa kusongea ugali nyumbani. Mshauri shemeji yangu mfungue kibanda cha mama ntiiie muwe mnasongea ugali.

Umepata nyenzo nzuri sana ya kuanzia maisha kwanza namshangaa aliyekuuzia kasia kwa shillingi elfu tano lilivyo gumu kulitengeneza anatakiwa akapimwe akili.
 
Hii mada sio serious sana mkuu.
 
Nilivyoona tu kichwa cha uzi nimejikuta nacheka tu bila mpangilio mbele ya abiria wote hawa. Aisee, umejua kunifurahisha. Sijui umewaza nini [emoji23][emoji23]
 
Niliikumbuka ile filamu tuliyochezeshwa na waziri mkuu.😂
 
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia.

Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom