Ha haa mwehu yule, wakati kuhesabu mil 250 kwa mkono unahitaji masaa km ma4 tuu tena hapo uko slow haswa,,labda zilikuwa za sarafu za jero na mia 2Aliniacha hoi alivyosema wamehesabu watu wawili mpk asbh
hahahaaaa bado mkuu...anza kunua mitumba ya marekani labda utakuta dolariDuuuh kweli noma nilijua nimetoboa sasa
Acha urongo nimechenji juzi 1ryal=4000 na hela yenye thamani zaidi ni ryal alafu inafuata drham ambayo ni 3500 sikosei ryal haijulikani Sana coz sio ya kibiashara kama ilivyo dollars, euro, paund1 Riyal = 598 Tzs, km zko 5 pga hesabu, unaeza pata ht balimi ya bariidi mkuu
Sio mbaya kwakwel ...1 Riyal = 598 Tzs, km zko 5 pga hesabu, unaeza pata ht balimi ya bariidi mkuu
Acha urongo nimechenji juzi 1ryal=4000 na hela yenye thamani zaidi ni ryal alafu inafuata drham ambayo ni 3500 sikosei ryal haijulikani Sana coz sio ya kibiashara kama ilivyo dollars, euro, paund
mtumba unaotoka Uarabuni duh! hujapata tende pia
HahahahahhHizo thamani yake haizidi buku mkuu..
So hujatusua wala nini ww endelea kulegeza vyuma vilivyobanwa na J mnywa pombe..
So hujatusua wala nini ww endelea kulegeza vyuma vilivyobanwa na J mnywa pombe..
hahahahahahahahahahahahahahahaha, Daaaaahhh Nimecheka hii kwa kweli
Bends ubungo plaza Luna bureau de1 Saudi Riyal equals
606.39 Tanzanian Shilling