IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Tecno W3 niliitumia Mara ya mwisho ilikua mwaka 2015 mwishoni. Ko katika kubashiri kwako nikuambie tu mkeka wako umechanika. Pia inaonyesha Ni mvivu wa kusoma waachie waliouelewa uzi mkuInaonekana kuna baridi sana huko alafu hiyo W3 haipigi picha nzuri. Umesema kuku wa 3 ila mm nawaona 4 au hayo mengine madumu? Tecno W3 kitambo sana kabla ya simu zile zimu za waasi Tecno M23
Wala usijali nduguKomaa nao wqkiongezeka leta mrejesho ila wakifa kwa mdondo pia usisite kuleta mrejesho
Kilala heri ndugu
Shukrani mkuu kwa ushauri wakoHongera mkuu, uthubutu ndio unaoleta tofauti, safari ya maili moja inaanza na hatua moja ...
Usikate tamaa kwa maudhi madogo madogo utakayopitia, siku njema zipo mbele.
Ukinunua batch ya pili wachanje mdondo utanishukuru kipupwe
Huyo mweusi mchinjeHabari wakuu, nanshukuru mungu nimenunua kuku wanne wa miezi mitatu shiling 5000 kila moja nategemea kila mwezi kuongeza wengine kumi.malengo yangu nataka niwe nakuku 20 wa mayai. Nimetengeza Banda kwa kutumia mabanzi. Huku ludewa (NJOMBE) mabanzi Ni kutosha unajiokotea tu, nikanunua turubai kubwa kwa ajili ya mvua. Naombeni ushauri wenu kwa hapa nilipo fikiaView attachment 2100704
Inaonekana hujui kusoma wewe.Inaonekana kuna baridi sana huko alafu hiyo W3 haipigi picha nzuri. Umesema kuku wa 3 ila mm nawaona 4 au hayo mengine madumu? Tecno W3 kitambo sana kabla ya simu zile zimu za waasi Tecno M23
Kapiga teke humweusiMbona sufuria la chakula chao limepinduka mapema sana?
Kwa njombe Ni ya kujiokotea tu mkuuMabanzi ni ya kujiokotoea?
Nipe Connection mkuu nahitaji mabanzi, kwa ajili ya banda la kuku kama wewe.
Kongole kwako kwa udhubutu, ukiwa na mbili ni rahisi kupata nyongeza ya moja.