Nimenunua sukari ambayo haikolei kabisa kwenye chai. Je kulikoni?

Nimenunua sukari ambayo haikolei kabisa kwenye chai. Je kulikoni?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Hapa Mitaani kwetu nimenunua sukari ambayo ukiweka kwenye chai haikolei kabisa. Hii sukari imekuwa tofauti kabisa na sukari ya Kiwanda cha Kagera au Kilombero.

Nawashauri TBS wafanye ufuatiliaji ili kuona kuna tatizo gani.
 
Hapa Mitaani kwetu nimenunua sukari ambayo ukiweka kwenye chai haikolei kabisa. Hii sukari imekuwa tofauti kabisa na sukari ya Kiwanda cha Kagera au Kilombero. Nawashauri TBS wafanye ufuatiliaji ili kuona kuna tatizo gani.
Umewataja kagera na kilombero ila umeshindwa kutaja kiwanda cha hiyo sukari, unaakili kweli?
 
Bongo hii kuna uhuni mwingi asee!
Hizi sabuni za unga za Dofi za pakti wanachanganya nachumvi;zile za kupima wanaongeza unga.
 
Malalamiko haya ndo umeyaleta humu jukwaa la Siasa au naona vibaya!!
 
Back
Top Bottom