Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sielewi imetokeaje hii kitu ni mara ya pili hii kwenye parking ipo hivi.
Nimetokaa zangu uko na gari ya watu premio toyota nimepaki vuzuri tu nimemaliza mambo yangu nataka kupeleka mzigo sehemu husika ile narudisha gari nyuma ghafla naona bampa la mbele limetona linabuluza chini, nakanyaga brake nikahisi gari linanirusha nashuka niangalie labda kama nimegonga mti hapana nimegonga gari la watu hapana. Je, chini kulikuwa na jiwe hapana up now sipo sawa najiuliza hii imetokeaje
Ila nahisi ni kwasababu gari nyepesi sana nishazoea IST nimeingiwa na uoga up nimejiapiza sitoendesha gari tena.