Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Pole sana,ndio ubaya wa kujifunzia gari automatic! Manual mkuu ndio ushindi usingekuja kulalama hapa.Up now sielewi imetokeaje hii kitu ni mara ya pili hii kwenye parking ipo hivi
Nimetokaa zangu uko na gari ya watu premio toyota nimepaki vuzuri tu nimemaliza mambo yangu nataka kupeleka mzigo sehemu husika ile narudisha gar nyuma gafla naona bampa la mbele limetona linabuluza chini nakanyaga brak nikahisi gari linanirusha nashuka niangalie labda kama nimegonga mti hapana nimegonga gari la watu hapana je chini kulikuwa na jiwe hapana up now sipo sawq najiuliza hii imetokeaje
Ila nahisi ni kwasababu gari nyepesi sana nishazoea IST nimeingiwa na uoga up nimejiapiza sitoendesha gari tena
Duh kwamba unamaanisha ninPole sana,ndio ubaya wa kujifunzia gari automatic! Manual mkuu ndio ushindi usingekuja kulalama hapa.
Mnakuwa na haraka sana,hamko makini kwenye ukaguzi wa magari nyie ni mwendo tuu,Sisi tuliojifunzia manual ,hata kama umetoka nalo gari na kupark huwa tunaangalia Tena ulivyoliacha ni sawa?Hii ndio faida ya kujifunzia gari ya manual.Pili tupo makini barabarani na hatuna woga.Duh kwamba unamaanisha nin