Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Mdogo wangu Wa miaka 12 alinikabuana nilihisi kifo[emoji3]
 
Na leo usku tunakufiata tunakuja na jini mudsa na wahida tunatoka sham
 
Duh!!!,pole Sana Joka jeusi,ndo hivyo, Waswahili walisema si kila king'aacho ni dhahabu.
 
Aisee nimecheka Sana🤣Nina mdogo wangu wakike nae anayo majin yana nguvu cjawah kuona ,akianza unguruma kama Simba nilikua nakimbia nyumba km mwehu yaan akiunguruma ni mpaka mtaa wa Sana utaskia alafu anatisha anabadilika anakua km mnyama ,macho yanakua meupe pee kile kiin cheus kinapotea tena mikono anaikunja km Simba alivyo tayar kurarua,Mara ya kwanza mi mwnyw nilidhanig utan nikagombana nae akasema nimuache atapandisha mi nkamwambia kwan sh ngap bhn pandisha,aloo aloo alivoanza kuunguruma km Simba nyikan mixer kukunja ile mikono km Simba alikua ana nguvu za Simba kabisa nilikimbia getin Mara moja funga get,nikaita vijana wa mtaan waje kunisaidia maana alikua kavua nguo zote Yuko km anamtafuta adui ammalize ,vijana wakaja aisee ile kumuona alivo mbio zake ni sendo tu na ndala zilijaa getin watu waliacha mpaka kofia,mpaka nilipompata ustaadh ndo kwenda kinyumenyume akamfunika uku akiomba dua,akamshika kwny paj akimuombea dua ,ndo akawa anatulia mpaka akalala,mpka leo huwa namuogopa huyo mdogo wangu tukibishana kidogo huwa najishusha ,manake japo aliombewa lakin wap ,ana matukio meng nikiyasimulia ni ya kutisha na kuchekesha pia especially ya wanaume ,ndo maana akat nasoma story yako nikawa na relate na matukio yake yaan nilishanusurika kuuwawa na huyu bint,ivo imenibid niwe mtumwa kwake nikiogopa kisago na ngeu za Kila siku🤣
 
Lofa wewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Limenipata tukio muda huu kama la aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…