C cielo Senior Member Joined Nov 2, 2011 Posts 130 Reaction score 13 Jul 16, 2012 Thread starter #41 Kichuguu said: Yaani ulipata kazi kabla ya intavyuu? Click to expand... nilishafanya intrview nikaambiwa nimepata kaz nirport 4training
Kichuguu said: Yaani ulipata kazi kabla ya intavyuu? Click to expand... nilishafanya intrview nikaambiwa nimepata kaz nirport 4training
Catherine JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,261 Reaction score 759 Jul 17, 2012 #42 Ubungoubungo said: inawezekana walijua kuwa wale waliokwenda interview walichakachua hivyo wakataka kuhakikisha kama kweli hao watu wameingia kihalali, ndo hivyo tena yakawakuta... Click to expand... kweli kabisaaa
Ubungoubungo said: inawezekana walijua kuwa wale waliokwenda interview walichakachua hivyo wakataka kuhakikisha kama kweli hao watu wameingia kihalali, ndo hivyo tena yakawakuta... Click to expand... kweli kabisaaa
S Stoudemire JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 839 Reaction score 207 Jul 17, 2012 #43 cielo said: watu wengine bwn, kama we hujui kingereza ucdhani na wenzio ni hivyo hivyo! Click to expand... Hili ni janga la kitaifa mzee :happy:
cielo said: watu wengine bwn, kama we hujui kingereza ucdhani na wenzio ni hivyo hivyo! Click to expand... Hili ni janga la kitaifa mzee :happy: