Nimenyong'onyea baada ya kusikia mume wake alifariki

Ulitakiwa ujue sababu za kifo cha Mumewe lakini huenda akakuambia ukweli au aka kuongopea yote yanawezekana.
 
True story.

Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki (Nikija daslama nitamjaribu shilole)
Shekh nakushauri kapime mapema tu siku izi wamekuja na strategy mpya ya kuwinda na ni hiyo ya kuuza chakula, husifikiri nia ni kuuza chakula tu anaji market pia ni hatari sana hao viumbe, their one step a head..
 
tena ada ya muhula mzima,MZEE WA KASUMBA
 
Wewe jamaa utakuwa mtunzi wa hadithi sio bure.
 
Mkuu wewe ni mtunzi mzuri,tena una utunzi wenye kasumba kweli,wacha niongeze sukari kwenye hii gahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…