ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Bado tupo upande wa wanawake wa kilokoleHata wanaume wa kilokole bure kabisa!
Nipe PoleHongera sana
Unataka bandidu anaipiga kama anaaga anakufa kesho.Mimi wa hivi simtaki!
Wametoka kwa daddy kufanyaje kuchezea miti? Gademit sema wana intelligentsia ya juu mpaka umdake analiwa na mchungaji red-handed yaan umetumia mbinu za enzi hizo hakuna hata simu za mkononiWanawaita dady!!
Utasikia nilipitia kwa dady baada ya kutoka kwenye maombi🤗🤗🤗
Kuna ibada za usiku wanaita mkesha na zile za mwisho wa mwaka wanasema vuka na chakoAnamlombea wapi?
Achana na walokole Wana hatari hao!Weee,usiniambie 🤓
1. Usimfiche mkeo kuwa una mtoto nje (specifically uliyempata kabla ya kumuoa)Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
🤣🤣Achana na walokole Wana hatari hao!
Pole kwa kweli mpenzi,maana wanavyojua kusagia kunguniNipe Pole
Unapenda purukushani za kupigishwa misamba huku unachapwa kofi kwenye makalioMimi wa hivi simtaki!
Hiyo kusagia kunguni usinikumbushe😂Pole kwa kweli mpenzi,maana wanavyojua kusagia kunguni
Maana yake wanawake woote hawafai. Kwa sababu hakuna ambaye hajafikiwaWanaume mnashida gani, mara huyu mjita malaya,huyu single maza hafai,huyu nae mlokole si wakuoa!!
Tunakwama wapi?
Kulikuwa na ulazima gani wa kutunywesha chaiTukamuuliza maono yapi hayo? Akajibu "ephen sio bikra"🤣
Kwahiyo?Bado tupo upande wa wanawake wa kilokole
Ndio🤣Unataka bandidu anaipiga kama anaaga anakufa kesho.
Analitawanya 'vuzy' hovyo hovyo mfano wa pitch ya Benjamin Mkapa baada ya mechi ya derby? 😆🤭🤭
Kuna tyle sio za kulombwa hovyo hivyo! Atalomba wangapi!Kuna ibada za usiku wanaita mkesha na zile za mwisho wa mwaka wanasema vuka na chako
NdioUnapenda purukushani za kupigishwa misamba huku unachapwa kofi kwenye makalio