Eeeh yaani kipenzi changu unaonekana huwajui walokole!Kulikuwa na ulazima gani wa kutunywesha chai
ila siyo mungu wa walokole hamtatoboa mtsfuten miungu mipya.wewe uko na matatizo! sii Bure
KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA. mithali 1:7
Amina mtumishiwewe uko na matatizo! sii Bure
KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA. mithali 1:7
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Sasa mkuu mbona haukitendei haki cheo cha Baba kichwa cha familia binafsi mke wangu lazima afuate dini yanguWakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Imeisha hioAnarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
Ukiomba game anasema amechoka
Kanisani kulikua na mfungo wa kukaa siku tatu bila kula kitu chochote, siku zote 3 mnashinda na kulala kanisani.Kuna jamaa yangu mke wake alikuwa anashinda church kuanzia asbuhi mpaka jioni..
Siku moja alipiga bwax akazama tempo madhabauni na panga..
Wanaleta ulokole kwenye maisha ya ndoaKwahiyo?
Hata bamdogo wangu😁Baba yangu mdogo ni mchungaji,aisee ana enjoy maisha,
Halimi,msumi wa mavuno analetewa mahindi nk, gari kanunuliwa,nyumba kajengewa, Wana siku ya kwenda kufanya usafi Kwa ba mdogo.
Huyo sio mkeo ni mke wa mchungaji, kwa kifupi umemuolea mchungaji,Fuatilia.Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni
*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji
*Ukiomba game anasema amechoka
Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Basi sawa BIG nitakubeba juu juu usilie sikudondoshiNdio
Upo sahihi kabisa mlokole humwambii kitu kuhusu Baba mchungajiMwanamke mfia DINI ni hatari zaidi ya mwanamke MCHAWI
Seran naomba tufungue kanisa wewe ndio utakuwa Mama mchungaji au Mke wa Mtume.Hata bamdogo wangu😁