MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Yaani ananenepa tu,mafuta wanamnunulia yaani, alikuwa Hana gari Kuna muumini mmama alikuwa na gari akampa akapata nalo accident,yule mama akachukuwa gari lake na kulitengeneza hakumpa tena mchungaji,,aisee waumini walikasirika,wakachanga na kumnunulia gari jipyaHata bamdogo wangu😁
Weeee umesababisha nicheke kwa sauti.Mimi walokole nawajua in and out!
Nakumbuka mama mchungaji alikua anamwambia mama yangu aende kwake akampikie dagaa wa Kigoma kisa mama yangu anajua kuwapika vizuri.
Mama yangu nae anaenda😂
Limeisha hilo!Seran naomba tufungue kanisa wewe ndio utakuwa Mama mchungaji au Mke wa Mtume.
Makanisa yana vituko sana! Machache sana yana misingi ya kweliYaani ananenepa tu,mafuta wanamnunulia yaani, alikuwa Hana gari Kuna muumini mmama alikuwa na gari akampa akapata nalo accident,yule mama akachukuwa gari lake na kulitengeneza hakumpa tena mchungaji,,aisee waumini walikasirika,wakachanga na kumnunulia gari jipya
Anaomba naye ofcn.Anamlombea wapi?
Ngoja tuanze maandalizi.Limeisha hilo!
Hii sio sawa!Anaomba naye ofcn.
Say less..Ngoja tuanze maandalizi.
Nilicheka,eti huyo mmama anafanya KAZI ni mbali anakubali agharamie usafiri Kila siku,gari akampa mchungaji😁.Makanisa yana vituko sana! Machache sana yana misingi ya kweli
Ndio jina linalotumika, Ukisikia baba yuko ofcn msimsumbue anamuhudumia mtu, maana yeye ndio anayehudumiwa.Hii sio sawa!
Shida wanazid vitu viwe vya kiasi.Wanawaita dady!!
Utasikia nilipitia kwa dady baada ya kutoka kwenye maombi🤗🤗🤗
Nick wa pili nadhani atakua mfano mzuri wakuigwa, wachungaji nao ni wanadamu hakuna mwema, wake za watu wengi wanazaa na wachungaji wao na waume wanalea hao watoto wakiamini ni wao.Upo sahihi kabisa mlokole humwambii kitu kuhusu Baba mchungaji
Wengine wanatakagaga kuonekana wana maisha mazuri kuzidi wengine tu hakuna lolote!Nilicheka,eti huyo mmama anafanya KAZI ni mbali anakubali agharamie usafiri Kila siku,gari akampa mchungaji😁.
Dahh! Sio kote lakini..Ndio jina linalotumika, Ukisikia baba yuko ofcn msimsumbue anamuhudumia mtu, maana yeye ndio anayehudumiwa.
Kujitutumua.Wengine wanatakagaga kuonekana wana maisha maziri kuzidi wengine tu hakuna lolote!