NIMEOA MKE MZURI KULIKO WA GODBLESS LEMA

Angalia mwenyewe kitu kilivyotulia na paja jeupeeeerr
Haha kweli wewe kiboko,kweli kuambiwa weka picha ya mkeo nawewe unaweka tena na kibwagizo juu eti "ona paja jeupeeer"

Ila unavyozidi kumsifia ndipo unazidi kuwatamanisha wengine wavutiwe nae hata kama sio kwa ridhaa zao ila tu nawao waonje na wadhibitishe hizo sifa unazozimwaga juu yake,yani wee mpaka hapo ushamtangazia dau subiri utaona manyoya.
 
Mambo ya showoff unaweza kutana na comment inasema "Kumbe na wewe huyu malaya unamfahamu"
 
Umemkuta na ubikira..kama hukumkutana nao sio mzuri kwakuwa aliyemtoa alimuona wakawaida sana..sema wewe kwa ushamba Wa mapenzi ukajua hivyo
 
Aise huyo mwanamke ananikumbusha mbali sana mkuu
 
Mbona wa kawaida sana? au tafsiri ya neno "mzuri" imebadilika sikuhizi?
 
Naomba ushauri jinsi ya kumlinda makapera maana wabongo hawakawii kujifanya wanampenda kuliko Mimi niliyemuoa
Huyo mke au gube gube, Matatizo ya kuzaliwa vijijini kila ukiona rangi nyeupe unahisi mzuri wengine wamejichubua na kunywa vidonge wawe hivyo, Shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…