Maana nasikia kuwa wasukuma ndio wanapenda sana wanawake weupe.Mimi mkinga
Hakika mkuuhuyu kajitakia mwenyewe....hii sio mada ya kuleta kwenye jamii yenye watu wengi
Mbona wa kawaida sana, labda ndio ivyo kipendacho roho... Uwezi kujua...!
Unamuamini huyo jamaa? masaa mawili yaliyopita kaanzisha thread hiyo hapo chini.huyu kajitakia mwenyewe....hii sio mada ya kuleta kwenye jamii yenye watu wengi
Weee chunga mdomo wako tokapa,unaishi Idiwili ndani huko km sio mwashiwawala magharibi huko na uchafu wako unao leta ukungu kwenye vioo vyetu.Mbeya/mwanjelwa
Kama huna confidence jiandae kuibiwaNaomba ushauri jinsi ya kumlinda makapera maana wabongo hawakawii kujifanya wanampenda kuliko Mimi niliyemuoa