Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu,

Jana maeneo ya Posta niliokota cheni ya almasi gramu 5. cha ajabu cheni hii ufanya mambo ya ajabu ajabu kuna wakati ugeuka na kuwa, mnyororo, ugeuka na kuwa kamba, ugeuka na kuwa gari au pikipiki, ugeuka na kuwa msichana mrembo sana, ugeuka na kuwa fuko la pesa, ugeuka na kuwa simba au nyati, kikubwa zaidi kila nikijaribu kuitupa inagoma kabisa kutoka ndani.

Nahitaji msaada wenu
 
jf Imeingiliwa na pepo la okota okota. we ni mtu wa nne sasa kuokota on the same sequel of story in two hours sijui ni kuchorana
 
Ipige picha katika mionekano yote hiyo uweke hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…