Kasi kazini
Member
- Sep 7, 2023
- 5
- 11
Hii kadi niliiokota maeneo kaloleni Arusha nyuma ya kanisa la pentecoste kaloleni
Kama una mfahamu naomba umjulishe nimejaribu kulitafuta hilo kwenye mitandao sijalipata
Nimeenda pia wanapouza pikipiki kuangalia kama wanamfahamu ili nipate mawasiliano yake sijampata
Kama atasoma hapa au kama kuna mtu anamfahamu anipigie 0625 533 405
Na ikifika Jumatatu sijampata nitaipeleka hapo kituo kidogo cha polisi kaloleni.