Nimeokota kadi ya pikipiki ya Miriam Nitume

Kasi kazini

Member
Joined
Sep 7, 2023
Posts
5
Reaction score
11
Hii kadi niliiokota maeneo kaloleni Arusha nyuma ya kanisa la pentecoste kaloleni
Kama una mfahamu naomba umjulishe nimejaribu kulitafuta hilo kwenye mitandao sijalipata
Nimeenda pia wanapouza pikipiki kuangalia kama wanamfahamu ili nipate mawasiliano yake sijampata

Kama atasoma hapa au kama kuna mtu anamfahamu anipigie 0625 533 405

Na ikifika Jumatatu sijampata nitaipeleka hapo kituo kidogo cha polisi kaloleni.
 
JF waanzishe jukwaa la vitu vilivyopotea/okotwa. Muhimu sana. Bado wapo watu wema wachache wanaweza kutoa taarifa kama hivi.
 
Yaani polisi haendi kuichukua bure
 
Na ikifika Jumatatu sijampata nitaipeleka hapo kituo kidogo cha polisi kaloleni.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
peleka tu polisi kwani kitengo cha traffic wana system inayo onesha namba ya simu ya mmiliki hivyo wanaweza kumpigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…