Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Naitaji soko la magnetite niko nayo tani 150
Nakubaliana nawewe mkuuMadini chuma hayana pesa na yanahitaji uwekezaji wa mashine nzito.
Nikweli lakn kama unamiliki ardhi hiyo kihalali basis mnufaika namba moja niww uliekua unatunza ardhi hiyoBado sijaona aliyeandika 'Ardhi ni mali ya serikali'.
Vp ulishapata mteja?Naitaji soko la magnetite niko nayo tani 150
Bei zake za kupotezeana muda tu yaani mtu ukusanye tani 1 halafu ulipwe elfu 50 sasa ina utofauti gani na kuuza kifusi au mchanga wa kawaidaMadini chuma hayana pesa na yanahitaji uwekezaji wa mashine nzito.