Nimeokota shilingi 1,000: Je, nini madhara ya kuokota pesa katika ulimwengu wa kiroho?

Nimeokota shilingi 1,000: Je, nini madhara ya kuokota pesa katika ulimwengu wa kiroho?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.

Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
 
Hiyo ni bahati Yako , hayo mambo unayoyawaza ni ya kimaskini hvo ni vitu vya kusadikika, ndomana wazungu Wana maendeleo mana hawaendekezi Imani uchwara
 
Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.

Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
Kama bado ipo iweke kwanza chini uikanyage kanyage kisha nenda kaifanyie matumizi
 
Dume zima unaokota vipesa vidogo vidogo namna hiyo?pathetic
 
Back
Top Bottom