nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Kama bado ipo iweke kwanza chini uikanyage kanyage kisha nenda kaifanyie matumiziNimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.
Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
Umeokota umaskini, elfu I siyo hela ya kuokota.Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.
Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
Mkuu we ungeacha?Umeokota umaskini, elfu I siyo hela ya kuokota.
Hapana naitakaNitumie mm kama hautaki pesa...