Mtoe msela kibingwaWandugu naombeni ushauri wenu.
Me nmeokota TCU vocher juzi kati hapo, afu kuna mdau ye bado hajanunu vocher so antaka aitumie hii vocher. Jaman kunatatzo nikimpa aitumie hii vocher?
Wandugu naombeni ushauri wenu.
Me nmeokota TCU vocher juzi kati hapo, afu kuna mdau ye bado hajanunu vocher so antaka aitumie hii vocher. Jaman kunatatzo nikimpa aitumie hii vocher?
Aah mkuu mbona unanchanganya xaxa. Kwaiyo na namba ya xm ukaandka yako au
Me nadhan kwenye shida ni pale kwenye jina la mwekaji.
Ama nn
Ukienda bank kununua vocher kuna deposit form unapewa ujaze. Xaxa ile form ndo inasehem ambayo untakiwa uandke jina la mwekaji.
Ukienda bank kununua vocher kuna deposit form unapewa ujaze. Xaxa ile form ndo inasehem ambayo untakiwa uandke jina la mwekaji.
Ndio na hapo nimeandika jina langu lakini mimi sio ninayeomba
Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
Mimi niliandika jina langu kabisa yani TCU fees for ........
Apart from the place of depositer's name