Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

ndio maana siendi chachi kitambo waumini hawaaminiki wachungaji kabisa Yesu yupo midomoni, usikute huyu ni mzee wa kanisa.
walokole sijui wanamaombi + vichungaji uchwara ni chaka tu la kuficha maovu. ukifuatilia kwa karibu hawa watu unaweza kuasi dini yako.
Huyo kichaa anayekaa kwenye mapagale anajichua atakuwa kimbweta cha wenye hizo nyumba. Kichaa wa kweli his penis always observe gravitational force.
 
Hata ww mwenyew utakuwa ni kichaa kama yye co bure manake yye anajichua tena barabarani ni kutokana na jinsi alivyo màana ni kichaa sasa kama na ww n kichaa jitoe akili ukafanye nae c umependa dudu kubwa hata mumeo hakijua ashangai kwani hatajua mke wangu ni kichaa
 
mfanyie massage mumeo dushelele lake kila siku baadaya mwezi mmoja litaongezeka ukubwa.
2. mfundishe kama hajui jinsi ya kukuchezea tu bila kukuduuu kwani kuduu si lazima ati. akiweza kukuchezea sehem zako muhim unaweza ridhika na ukamsahau huyo chizi wako
 
ni PM nikupe mchakato kamili
 
Maandiko yanasema..."uasherati usitajwe kwenu", "ikimbie zinaa"....Kumpenda yesu sio lele mama. Kila ukimuona huyo kichaaaa....kumbuka maandiko. Yesu alimshinda shetani kwa maandiko...
 
Kwanza shetani mnamkosea sana unakuta limtu ndo tabia yake likiyafanya na yakalika shingoni linasingizia shetani, nahisi wewe zamani ulikuwa mzinzi sana ukaamua kukimbilia kanisani kufanya kama kichaka cha kujificha na umekaa muda mrefu bila kufanya tabia yako ndo maana unataka kurudisha makoloni yako ila utanuna mazao yako ulio panda
 
MLOKOLE???
JEEZ MEANS JESUS
 
Duuu hapa kazi ipo Mama ndio ashapenda tena ya chizi.
 
kama maandiko yanavyosema mwanamke nikiumbe dhaifu hakukuwa na uonezi wala discrimination ya aina yoyote,ukitaka kujua tazama makanisa mengi ya kiroho wenyeshida nyingi ni wanawake na mwanamke nirahisi sana kujaribiwa na kukamatwa na nguvu za giza..!!!
Huenda ipo siku utajikuta umelala na huyo chizi wala hutojua ilikuwaje ulifikaje baada yahapo utakuja na ushuhuda mwingine mwingi kama kweli umeokoka,,japo kwa imani yangu ya ukristo sijawahi kuamini mtu anaokoka hapa duniani,ili hali wewe binafsi unaendelea kutenda dhambi ya uzinifu,nibora uzame katika maombi ikishindikana tafuta viongozi wadini wakusaidie katika hili
 
Kuoa siku hizi ni kutimiza wajibu ndo maana mi sitaki Kuoa kwa sasa maana nikiona yanayotendeka naishiw nguvu
 
Asante sana!, ni kweli kabisa. kuna wanandoa fulani ninaowajua kwa macho yangu ya kawaida nawaonea wivu sana maana wanapendana na wanaishi kwa furaha sana miaka 8 imepita mpaka sasa, walio wengi ambao nimehudhuria harusi zao yaani ni vurugu tupu!, ndani ya mwaka mmoja zinakuwa zipo hoi taabani hazijiwezi ni kama vile wameishi miaka 50 kwenye ndoa kumbeeeeeee!. Bila msaada wa Mungu tumekwisha: Imani & matendo ndo kila kitu
Muombe Mungu. Sio ndoa zote mbaya zingne nzuri
 
Anaweza akawa boyfriend wako wa zamani. Mtazame vizuri, yaweza kuwa ulimwahidi atakuoa halafu ukamtosa!
 
Ni kweli ndugu shetani ana mbinu nyingi sana soon atajikuta anahamia Kwa huyo kichaa
 
Makanisani na misikitini ndimo walozi,wazinzi,wezi wanajificha. Mpe kitumbua hicho jamaa atoe ukurutu mpini wake. Apige mpaka unga.
 
Yap. U hav to pray that is da best solution for ua happines in ua marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…