Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Dah huyu ni ibilisi anakunyemelea Tena anakuwinda si ubadili njia lazima upite hapo?
Huyu dada ana dalili zote za kubakwa kwa kupenda, sasa chizi analala na machizi wenzake wangapi jamani wanawake tumezidi mweh?
 
Daah!! Huu uzi wa siku mingi..
Mleta mada hakutupa mrejesho huenda kichaa alishafanya yake..
 
ARE YOU REALLY A BORN AGAIN CHRISTIAN? LEAVE BORN AGAIN CHRISTIANS ALONE PLEASE DON'T DESTROY THEIR GOOD IMAGE
 
Hilo ni pepo kamili, funga na kuomba sana, usifanye mchezo ni roho ya uzinzi hiyo imekuvaa
 
Toka February mpaka Leo cjui km hujagongwa kweli na kichaa maana na yeye pia binadamu na ana roho
 
khaa dada unajua kushauri ila yy kuvutia na dudu kubwa lenye kichwa kinene
 
Kichaa mwanamke ni rahisi kubakwa na mwanaume(mtu wa kawaida) sababu Mwanaume ndo anakuwa na hisia na kupandisha mizuka, lakini mwanamke ni vigumu kumpandisha hisia kichaa mwanaume akapata mzuka na kuanza kufanya tendo sababu ya mfumo wake wa akili na kupoteza hisia uume ni vigumu kuamka kwa muda muafaka.

-Mwanamke kichaa anaweza kubakwa, lakini mwanaume kichaa ni vigumu sana kubaka.
 
*Napata wasiwasi na huduma ya mume wako*
 
Kwani dushe la kichaa likiwa kwenye kampeni lina tofauti gani na la aliye mzima? Usijaribu utanasa.vichaa wa kike wana watoto wa mabosi
 
Huyu member kiboko.

Alifunguwa ID hii ili a post hii thread moja na post moja, hajajibu.

Saa hizi na yeye anabishana kama vile si yeye aliyeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…