Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Huyo sio kichaa asee!kichaa anatumia mate kupigia puri!?Si angetumia mchanga kama kweli kichaa.
 
Umeokoka na unampenda Yesu halafu unatuuliza ufanyeje, serious?
 
DADA ZINGATIA SANA NENO HILI .NARUDIA SAAANA
 
Mimi najua wanaume ndo huwa wanauwezo wa kuwagonga hata vichaa wakiwa na nyege kwa mwanamke kugongwa na kichaa hiyo kali
 

Ungeangalia kwanza usahihi wa hiyo dini yako ndio ukaja kwenye hiyo unayiita ndoa yako kabla ya kuwaza kufanya mapenzi na huyo unayemwita kichaa
 
Kwa kinya hiki inaonyesha kichaa alipata chaka na maisha yanaendelea...

Tujue tu kwamba wana mtoto au bado sana?
 
Ni kwambie tu hamna kichaa duniani, wapo kazini.
 
Tangu 2016 ndio naiona leo hii thread daaaaah!

aseee ningekupa jibu moja tamu hilooo sema basi kiporo kishachacha tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…