Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopoKipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia.
Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri kupanua huduma bila huduma kwa wateja, hii ni aibu.
Mkuu umeshapata huduma?Kipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia.
Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri kupanua huduma bila huduma kwa wateja, hii ni aibu.
Kama mtaendelea kujibu kero za wateja wenu namna hii hakika shirika litapaa!Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa Wala hakuwa na shida stress zake zilikuwa zinamsumbua, akidhani Ni ile tanesco yazamaniKama mtaendelea kujibu kero za wateja wenu namna hii hakika shirika litapaa!
NIMELIPISHWA SHILINGI LAKI TATU NA ELFU THELATHINI NA SITA kwaajili ya kuvuta umeme.. Mashati,Rombo.. Je ni sahihi? Kama sio sahihi napataje msaada?Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na wewe kwa akili zako ulitaka uwekewe Umeme Bure? zile ni siasa na hizi ni huduma .NIMELIPISHWA SHILINGI LAKI TATU NA ELFU THELATHINI NA SITA kwaajili ya kuvuta umeme.. Mashati,Rombo.. Je ni sahihi? Kama sio sahihi napataje msaada?
Samahani hivi hizi namba za huduma kwa wateja tabata, zina matatizo gani, kila ukipiga zinatumika mwezi mzima!!!! Unaweza kupiga toka asubuhi hadi usiku unaambiwa zinatumika!!! Inakuwa haina haja sasa ya kuwa na namba hizoJe umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna namba fulani wanakupa ukienda ofisini kwao, naona hizo zinapatikana mkuuSa
Samahani hivi hizi namba za huduma kwa wateja tabata, zina matatizo gani, kila ukipiga zinatumika mwezi mzima!!!! Unaweza kupiga toka asubuhi hadi usiku unaambiwa zinatumika!!! Inakuwa haina haja sasa ya kuwa na namba hizo
Mbona hizi walinipa tanesco ubungo, kuwa ndio za tabata, kila nikipiga naambiwa zinatumika,!! Tanesco kwa huduma kwa mteja bado sana!!!Kuna namba fulani wanakupa ukienda ofisini kwao, naona hizo zinapatikana mkuu
Ila hata wakipatikana na kupokea bado majibu yao ni mepesi tu.Mbona hizi walinipa tanesco ubungo, kuwa ndio za tabata, kila nikipiga naambiwa zinatumika,!! Tanesco kwa huduma kwa mteja bado sana!!!
Toka asubuhi afisa uhusiano yupo mtandaoni na lazima ajibu sababu ameleta petite ya kupigiwa kura ili waonekane Tanesco wapo juu kihuduma.Kama mtaendelea kujibu kero za wateja wenu namna hii hakika shirika litapaa!
Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wkk ya 3 sasa nguzo imeangukia batiHii kasi ya TANESCO sio ya kawaida, nadhani mnatafuta kura kwenye page mliyoleta hapa jukwaani.
Piga picha tuwekee hapa tutaipeleka kwa Dr kalemaniNa wkk ya 3 sasa nguzo imeangukia bati
Tafadhali tusaidieNa wkk ya 3 sasa nguzo imeangukia bati
Eneo ganiKweli hawa jamaa hawako serious, mimi nimeenda ofisini zaidi ya mara tatu napewa kikaratasi kina namba za simu kila ukipiga unaambiwa mafundi wanakuja karibu mwezi sasa. Wakati huo nguzo inakaribia kudondoka aisee.