Je unapiga namba gani? Muda gani? Tupatie yakwako tukupigieSa
Samahani hivi hizi namba za huduma kwa wateja tabata, zina matatizo gani, kila ukipiga zinatumika mwezi mzima!!!! Unaweza kupiga toka asubuhi hadi usiku unaambiwa zinatumika!!! Inakuwa haina haja sasa ya kuwa na namba hizo
Angalia PM
Si nimeuliza mkuu! Au sipaswi kuulizaHivi na wewe kwa akili zako ulitaka uwekewe Umeme Bure? zile ni siasa na hizi ni huduma .
Mfumo wa kupokea malalamiko upo tena wa kielctronic na hivi karibuni tutawaletea kingine kipyaWatu wasiojulikana watawakamatia humu..
Tanesco wangeweka utaratibu wa kupokea malalamiko kama ambavyo baadhi ya benki hufanya.
Watuwekee platform ya kuwaeleza kero zetu.
Ila kwa mikoani hawa TANESCO wanajitahidi sana,kuanzia huduma,fast response hata lugha zao wanajitahidi kwa hakika. Sio kama miaka kadhaa nyuma.
Endeleeni kuliboresha shirika letu. Maana siku sio nyingi mtaongezewa umeme wa nyerere HP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa taarifa inbox au kwa njia nyingine unayopemda wewekweli aisee umetoa angalizo zuri mno unaombwa details na unatoa kizembeee kabisaàa bila kukimbuka kuwa ulishacomment na kutoa threads za kuponda juhudi za awamu
Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yombo dovya, temeke
Yombo dovya, temeke, namba yangu 0653669726, namba waliyonipa tanesco 0746291393
Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona post za msingi hamjibu kuna tatizo gani kati tanesco na tamko la waziri kuhusu nguzo? Jibu hili ndo swali la msingi mkuu achani usanii.
Moja ya jambo linalokera nihili la kuambiwa njoo mwenyewe.Leo 20/02/2020 nimemtuma kijana WANGU nikiwa nimempatia photocopy ya kitambulisho changu na passport size moja. Pamoja na no yangu ya simu .
Aende ofisi za Tanesco Darlive akanichukulie fomu kwa ajili ya kuomba kupatiwa umeme kwenye nyumba yangu iliyoko Mkokozi - Mkuranga.
Alipofika kwenye ofisi za Tanesco Darlive Mbagala akajibiwa hawatoi fomu nje ya Wilaya ya Temeke, aliponijulisha nikaiga simu na kuongea nao na wakanishauri niende Mkuranga ama Kurasini.
Nikamtumia kijana WANGU fedha na kumtaka aende Mkuranga, alipofika Mkuranga na kuulizwa nyumba ziko wapi? alipojibu akaambiwa mwambie mwenyewe aje.
Akanijulisha na mm nikapiga simu na kuulizia vp, jibu nililopewa ni fupi, NDO HIVYO njoo ww mwenyewe, nikamjibu Niko mbali , akajibu siku ukipata muda na nafasi njoo.
Nikamwambia bwanamdogo aondoke, nikaingia humu jamii forum ukurasa wa Tanesco na kupata no za simu Pwani.
Nilipopiga ikapokelewa Kibaha nikajieleza mkasa mzima ,kwa kweli mtumishi aliyenijibu akashangaa kwann kijana amekataliwa kupewa fomu.
Nikaomba ushauri nn nifanye akanipatia no ya afisa uhusiano nilipopiga simu ikawa haipatikani.
Nimeomba ruhusa kazini kesho inshallah ntafika katika ofisi za Tanesco Mkuranga kuchukua fomu.
Kama wanavyotaka baadhi ya watumishi wao kinyume na taràtibu zilivyowekwa na ofisi.
Tanesco ni ile ile hujasikia juzi huko Daslam nguzo zimekaa mtaani miaka miwili wananchi hawajasambaziwa umeme? Kule Zingiziwa chanika wamerundika nguzo tu wala hazisimikwi toka mwaka jana mwishoni nadhani wanasubir kampeni zikaribie ndio watawekaHuyu jamaa Wala hakuwa na shida stress zake zilikuwa zinamsumbua, akidhani Ni ile tanesco yazamani
Leo nimetekeleza Amri yao. Nimefika na kuhudumiwa vzr Sana. Ila sikuona umuhimu wowote wa mm mwenyewe kuwepo kwa ajili ya kuchukua fomu hiyo.Moja ya jambo linalokera nihili la kuambiwa njoo mwenyewe.
Yani huwezi kumtuma hata mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilayani ukiomba umeme sehemu inayohitaji nguzo 2 wanakuambia zoezi la nguzo ni ngumu mpaka liende wizarani ndio upate huduma yani kifupi nguzo hakuna, tunafanyaje? Limempata jamaa yangu Kabuku Tanga.Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app