Tupatie jina lake na namba yake ya simu tafadhaliWilayani ukiomba umeme sehemu inayohitaji nguzo 2 wanakuambia zoezi la nguzo ni ngumu mpaka liende wizarani ndio upate huduma yani kifupi nguzo hakuna, tunafanyaje? Limempata jamaa yangu Kabuku Tanga.
Ok thanks, nita ku pm
muhudumu wa Tabasco Kabuku anasumbua sana wateja kwa kuomba rushwa, anaitwa Sadiki
Naomba wahusika mfatilieni huyu muhudumu wenu wa Tanesco Kabuku, jina lake Sadiki no yake 0712 636757Ok thanks, nita ku pm
Hahaha! Hapo wape namba Tanesco wampigie Mabosasa ushitakiwe kwa uhujumu uchumi! Yaani unaandika majibu kama haya kwenye mitandao mabeberu wayaone wasite kuja kuwekeza!Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mhusika tanesco naomba unifahamishe suala hili nina nyumba kubwa na nyumba nyingine nimejenga pembeni je naruhusiwa kuunganisha wire kutoka nyumba kubwa nitumie kwenye hiyo nyumba nyingine wakati nasubiri kukamilisha kuomba umeme kwenu?au ni kosa kisheria?Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mhusika tanesco naomba unifahamishe suala hili nina nyumba kubwa na nyumba nyingine nimejenga pembeni je naruhusiwa kuunganisha wire kutoka nyumba kubwa nitumie kwenye hiyo nyumba nyingine wakati nasubiri kukamilisha kuomba umeme kwenu?au ni kosa kisheria?
Hapana hauruhusiwi unapaswa kuomba kibali cha TANESCO ofisi ya eneo lako ili kujiridhisha kama matumizi yako yanaweza kuruhusu kuvuta au laamkuu mhusika tanesco naomba unifahamishe suala hili nina nyumba kubwa na nyumba nyingine nimejenga pembeni je naruhusiwa kuunganisha wire kutoka nyumba kubwa nitumie kwenye hiyo nyumba nyingine wakati nasubiri kukamilisha kuomba umeme kwenu?au ni kosa kisheria?
Kipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia.
Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri kupanua huduma bila huduma kwa wateja, hii ni aibu.