UmenipataKapata mwanamke mwenye mziki mnene. Anapiga mzigo 24 hrs bila kuchoka, na mzigo wenyewe wa haja, yaani hadi kidume kimeshindwa kuhimili mapogo. Anamkimbia lakini demu ndo kamganda. (kwa nilivyoelewa mimi)
I see!! yaani hapa ndio umefafanuwa ili ueleweke! basi kazi ipo katika idara ya kujieleza kwa Wabongo.Umenipata
Hapa nilipo nipo pub. Yeye anadai ananisubiri nimemwambia nimepata dharura nitachelewa kurudi anasema hakuna shida atanisubiri baa ya karibu na nyumbani.Leo nimepanga ni lazima achome mahindi kisawa sawa
Umenipata

No wonder I missed this place.... Dah! Lmao!
Sorry nimeshindwa kujizuia kucheka....:tongue:
...nimepewa more than i can chew
Nilijigamba mimi rijali lakini maji yamezidi unga
Nyumbani pamekuwa ni pakuvizia
Nikirudi ni usiku wa manane
Mtu kanidokeza ni NYMPHOMANIAC
Mwanaume hatakiwa kukimbia vita lakini hii ni vita ya kipekee
Nimempa kavu kavu lakini hapati somo
Nifanyeje kwa sababu tunakoelekea si kuzuri?