je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Huwa ni mpenzi WA Mpira WA miguu mno. Na hii inachagizwa kwa kuwa nimecheza Mpira katika peak ya juu sana ila tu wakati na cheza Mpira haukuwa Mali sana KULIKO kipindi hiki Cha sasa.
Sasa Kuna Huwa natembelea viwanja mbali mbali kuangalia vijana wanavyofanya mazoezi na mechi hizi za ndondo MTAANI.
Kwa mfano hii timu ya MTAANI Huwa siku za mechi wanakuja nyumbani ili nikasimamie hata ukocha kidogo ila nawakatalia na kuwapa tu support ya maji na glucose
Sasa Kuna kijana mmoja kama wiki nyuma kanifuata kaniomba nimtafutie timu hata ya under 20 au timu b yeyote Ile ya NBC premier league.
Nikamwambia kutafuta timu ni connection sana inabidi uwe katika area hiyo .mana Mpira WA bongo 10% kwa sana.
Nijue nijue nyingi zaidi hata kama unakiwasha.
Ila huyu DOGO ni baller sana anaujua Hadi anakera ila tatizo ni jinsi ya kutoka ndio imekuwa ngumu
Kwa hiyo naanzaje hapa kuingia katika sakata hili la kuwa wakala WA wachezaji vijana kwa ligi kuu na nje ya mipaka ya nchi.?