Ni juzi kati nilikuwepo Gesti Fulani na Dar na kabla ya kulala nilihesabu hela nilikuwa na 50000/=.
Nilipopatwa na usingizi mzito niliota mtu Fulani anakuja ananiambia nimpe hela zangu na nikampa yeye akanipa kitu kingine sikikumbuki.
Sasa nilivyoamka asubuhi natafuta Ile 50000/= sikuiona Tena Kila sehemu niliyosachi.
Sahivi naogopa hata kutoa hela benki nikakaa nazo.Jana pia Nimeota Nampa mtu hela kama makubaliano Fulani.
Spiritualist wa Jamii Forums NAOMBA mnitafsirie.