Nimeona kibanda Wilaya Hai kidogo kinafaa. Nina Milioni 55

Nimeona kibanda Wilaya Hai kidogo kinafaa. Nina Milioni 55

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu kheri ya Idd,

Ndugu zangu wapendwa wote mlio JamiiForums ndani na nje ya nchi nawasalimia katika jina la 47Mbatizaji maana Mungu wetu sote

Niliona 'kibanda' flani kipo Wilaya ya Hai, chenye master mbili na vyumba viwilii. Nimejitokeza nataka kwa niaba ya Ndugu na Jamaa kwa bei tajwa hapo juu

Kama muuzaji yupo humu tuwasiline
 
Back
Top Bottom