Nimeona mabadiliko makubwa kwa Millard Ayo na Michuzi.

Nimeona mabadiliko makubwa kwa Millard Ayo na Michuzi.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wakuu zamani ukipita kwenye hizi site zilikuwa zimechafuka kwa matangazo. Hadi unaikuta habari unakuwa umepita matangazo si chini ya matano.
Leo nimepita nakuta kweupe kabisa. Nini kimewapata?
 
Platforms ziko nyingi siku hizi....ni mambo tu ya kwenda na wakati
 
Back
Top Bottom