Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Dec 31, 2020 #1 Wakuu zamani ukipita kwenye hizi site zilikuwa zimechafuka kwa matangazo. Hadi unaikuta habari unakuwa umepita matangazo si chini ya matano. Leo nimepita nakuta kweupe kabisa. Nini kimewapata?
Wakuu zamani ukipita kwenye hizi site zilikuwa zimechafuka kwa matangazo. Hadi unaikuta habari unakuwa umepita matangazo si chini ya matano. Leo nimepita nakuta kweupe kabisa. Nini kimewapata?
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,101 Reaction score 14,487 Dec 31, 2020 #2 Uchumi wa kati
E Elevat Kapela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2017 Posts 631 Reaction score 1,837 Dec 31, 2020 #3 Uchumi wa kati na faida zake
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Dec 31, 2020 #4 Wamehamia U tube... Zama zinabadilika.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Dec 31, 2020 #5 Eeeeeh papaa mobimbaaaaaa eeeeeeeeeh,amechukua ameweka waaaaah.
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Dec 31, 2020 #6 Platforms ziko nyingi siku hizi....ni mambo tu ya kwenda na wakati