Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
Mbona yapo mengi Ila wewe umeona Ilo tu kweli. Huoni ambavyo Kodi za watanzania zinavyotumika vibaya kwa kuwauwa watanzania hao hao. Hujaona kuwa Kuna software imekodishwa imekodiwa toka India ya kufuatilia umeme unapokatika Ni eneo gani kwa bilioni 69 za kitanzania ambazo zingejenga shule watt wetu wakasomea mazingira mazuri hata ya walimu baadaye tusipate Malaya wa sinza ,vibaka na wapiga debe,Mana wangepata elimu Bora ingewapa ujasiri wa kupignaa na dunia hii.
Haya mama mjamzito akajifungulia njiani bahati mbaya mtt akafariki ,ama akajifungua hospital hakuna huduma mama akafariki kwa kukosa huduma nzuri ama daktari Ni mmoja anahudumiwa na mkung aama na muuguzi asiye na elimu.
Huyo mama akafariki na huku tunalipa Kodi naye analipa Kodi sema wajanja wachache wanazitafuna kuwaumiza hao hao wanaozilipa.
Hilo hujawaagiza polisi wafuatilie walione pia na uongozi wa msikiti.
Na kwa taarifa yako hayo madawa yanaaagizwa na watu hao hao wakodisha software,wanaosaini miktaba ya kuligharimu Taifa. Unadhani wewe mtu wa kawaida utaagiza hayo madawa una hela kiasi gani lazima uwe na mkubwa wa kukukingia kifua.watu wanataka uongozi ama madaraka ili wafanye dirty deals Kama hujui. Mbunge analipwa like -20M ,rc Ni 6M unadhani hizo hela ndizo wanauana na kurogana ili wakazipate na huku ukiwa na mishe za Mana unazipata hizo marudufu.
Watu wanakaa huko na kujipa tenda za kuagiza mafuta ,mbolea ,sukari na hakuna mwingine wa kuagiza so Bei inauzwa kubwa wanapiga superprofit Mana hakuna ushindani mkuu.
Yaani dunia haiko Kama unavyoiona Kuna mengi mno gizani ama nje ya upeo wa macho yako yanafanyika. Watu wanawaza kuwekeza miradi ambayo mpaka mwisho wa dunia kizazi Chao watakuwa wanakula bila ya kufanya kazi. Hivi unajua huko USA Europe Kuna watu Leo hii hawafanyi kazi wanakula gawio tu la hisa za kampuni walizonunua baby zao.
Kuna watu apartments ulaya wamepangisha wazungu Ila uko nao huko tandale.
Ilo hujaliona ,unajua kuwa ukoo wa sultani seyyid said ,akina bargash mpaka saivi Ni matajiri huko Oman na ndicho watawala Hawa wenye mlengo wa iyo itikadi inakifanya Mana inazo hizo mentality.
Subiri unyonywe mpaka mavu yako ndipo utajua hii Ni serious