KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
**ACHA UKUDA...HUTAFAIDIKA KWA LOLOTE.Nimepita katika soko la Sterio pale karibu na Msikiti mkuu ukiopo pale, nimekuta madawa ya kulevya yanauzwa na kutumiwa hadharani. Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
We shangilia tu,
Ni Kama UKIMWI tu,tukumbushane kujiepusha,tukishindwa tuwe tayari na matokeoWe shangilia tu,
Moja ya mpendwa wako akiangukia kwenye hili janga ndio utajua ujui.
Unachekelea[emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani mkuu Zama hizi kupinga mambo mabaya unaonekana mkuda..inasikitisha sanaKuna comments mbili hapo juu zimenisikitiaha sana
Kaka umetoa taarifa nzuri lakini kuna mambo mawili matatu jiulize je we ndo wakwanza kuona je una usalama gani wewe hapo ulipo kumbuka this is TanzaniaNimepita katika soko la Sterio pale karibu na Msikiti mkuu uliopo pale, nimekuta madawa ya kulevya yanauzwa na kutumiwa hadharani. Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
Mbona yapo mengi Ila wewe umeona Ilo tu kweli. Huoni ambavyo Kodi za watanzania zinavyotumika vibaya kwa kuwauwa watanzania hao hao. Hujaona kuwa Kuna software imekodishwa imekodiwa toka India ya kufuatilia umeme unapokatika Ni eneo gani kwa bilioni 69 za kitanzania ambazo zingejenga shule watt wetu wakasomea mazingira mazuri hata ya walimu baadaye tusipate Malaya wa sinza ,vibaka na wapiga debe,Mana wangepata elimu Bora ingewapa ujasiri wa kupignaa na dunia hii.Sijui Polisi na Uongozi wa Msikiti hawaoni au wanawaogopa ma-Don wa genge hilo?
Hii nchi aliiwezea j pm na ndio Mana walimuondoa. Mana Kuna majambazi, predators,whales and 🦈 eat on wild beast,small 🐟 so unadhani uwabanie watakula wapi. Mana wao njia zao sio halal hawatumii Bali Ni kwa mabavu na wizi na unyang'anyi wa kuwaibia baadaye wanakuja kujinasibu kuwa tupo pamoja na masikini na wanyonge wanapanda boda Kama nyie na kula msosi wa bukuKaka umetoa taarifa nzuri lakini kuna mambo mawili matatu jiulize je we ndo wakwanza kuona je una usalama gani wewe hapo ulipo kumbuka this is Tanzania
Yeye ameona madawa amesema, haya mbona wewe umeona la software umekaa kimya?Mbona yapo mengi Ila wewe umeona Ilo tu kweli. Huoni ambavyo Kodi za watanzania zinavyotumika vibaya kwa kuwauwa watanzania hao hao. Hujaona kuwa Kuna software imekodishwa imekodiwa toka India ya kufuatilia umeme unapokatika Ni eneo gani kwa bilioni 69 za kitanzania ambazo zingejenga shule watt wetu wakasomea mazingira mazuri hata ya walimu baadaye tusipate Malaya wa sinza ,vibaka na wapiga debe,Mana wangepata elimu Bora ingewapa ujasiri wa kupignaa na dunia hii.
Haya mama mjamzito akajifungulia njiani bahati mbaya mtt akafariki ,ama akajifungua hospital hakuna huduma mama akafariki kwa kukosa huduma nzuri ama daktari Ni mmoja anahudumiwa na mkung aama na muuguzi asiye na elimu.
Huyo mama akafariki na huku tunalipa Kodi naye analipa Kodi sema wajanja wachache wanazitafuna kuwaumiza hao hao wanaozilipa.
Hilo hujawaagiza polisi wafuatilie walione pia na uongozi wa msikiti.
Na kwa taarifa yako hayo madawa yanaaagizwa na watu hao hao wakodisha software,wanaosaini miktaba ya kuligharimu Taifa. Unadhani wewe mtu wa kawaida utaagiza hayo madawa una hela kiasi gani lazima uwe na mkubwa wa kukukingia kifua.watu wanataka uongozi ama madaraka ili wafanye dirty deals Kama hujui. Mbunge analipwa like -20M ,rc Ni 6M unadhani hizo hela ndizo wanauana na kurogana ili wakazipate na huku ukiwa na mishe za Mana unazipata hizo marudufu.
Watu wanakaa huko na kujipa tenda za kuagiza mafuta ,mbolea ,sukari na hakuna mwingine wa kuagiza so Bei inauzwa kubwa wanapiga superprofit Mana hakuna ushindani mkuu.
Yaani dunia haiko Kama unavyoiona Kuna mengi mno gizani ama nje ya upeo wa macho yako yanafanyika. Watu wanawaza kuwekeza miradi ambayo mpaka mwisho wa dunia kizazi Chao watakuwa wanakula bila ya kufanya kazi. Hivi unajua huko USA Europe Kuna watu Leo hii hawafanyi kazi wanakula gawio tu la hisa za kampuni walizonunua baby zao.
Kuna watu apartments ulaya wamepangisha wazungu Ila uko nao huko tandale.
Ilo hujaliona ,unajua kuwa ukoo wa sultani seyyid said ,akina bargash mpaka saivi Ni matajiri huko Oman na ndicho watawala Hawa wenye mlengo wa iyo itikadi inakifanya Mana inazo hizo mentality.
Subiri unyonywe mpaka mavu yako ndipo utajua hii Ni serious
Sawa ndugu Sina neno,kweli hii dunia ukiona hili na wenzako wanaona lile. Nashukuru mno Tena mnoYeye ameona madawa amesema, haya mbona wewe umeona la software umekaa kimya?
Ujue hata bangi wanaipiga marufuku Mana wauzaji watakuwa wengi so dili ama.value itapungua. Unakumbuka enzi za kuber and mankchand lakini ama tambuuYaani mkuu Zama hizi kupinga mambo mabaya unaonekana mkuda..inasikitisha sana